TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika
mwaka huu 2013, Inatimia miaka 13 tangu nianze kazi ya muziki.
Nashukuru
MUNGU tuko pamoja na pia, nashukuru umma wa Tanzania kwa kuendelea ku support
muziki wa Tanzania na kunipa nguvu mimi kama msanii.
Nashukuru
vyombo vyote vya habari vinavyoshiriki kikamilifu kukuza na kulinda sanaa ya
Tanzania bila kujali maslahi binafsi.
Tumeandaa
sherehe kubwa na nzuri ya miaka 13 ya LADY JAYDEE, katika muziki.
Na
mdhamini mkuu kwa upande wa media ni East Africa TV.
Sherehe
ya miaka 13 ya Lady JayDee katika muziki itaambatana na uzinduzi wa album yangu
ya sita inayokwenda kwa jina la NOTHING BUT THE TRUTH ambayo ina jumla ya
nyimbo 10.
Katika
sherehe hizo pia kutakuwa na show ya nyimbo zote bora za JayDee nikishirikiana
na baadhi ya wasanii wenzangu hapa nchini.
Sherehe
zitafanyika Ijumaa tarehe 31 May 2013.
Nawakaribisha
wote tufurahi pamoja
Na
Mungu awabariki
Comments
Post a Comment